Thursday, July 7, 2016

TAARIFA MUHIMU KUHUSU KIKUNDI CHA MAGU TUJILEE

kwa taarifa zaidi juu ya kikundi cha magu tujilee culture group usikose kutembelea blog yao kila siku ili upate kujua taarifa zao zaidi. pia kwa mawasiliano zaidi unaweza kuwasiliana na uwongozi wa kikundi kwa namba za simu zifuatazo katibu wa kikundi majuto malechela simu namba 0789356403
pia kikundi hiki kinajiusisha na mambo yafuatayo kujenga majengo mbalimbali, kuigiza, kucheza ngoma za kiasili na za kisasa, pia kupaka rangi majengo mbalimbali kuimba kwa staili mbalimbali.
kikundi hiki kinapatikana katika halmashauri ya wilaya ya chamwino kata ya mlowa barabarani kijiji cha mlowa b..............
mnakaribishwa wote wenye vipaji ili muweze kutimiza ndoto zenu

0 comments:

Post a Comment