vijana wa magu tujilee culture group wakifanya yao siku ya uzinduzi wa kikundi chao tarehe 15/05/2016 katika uwanja wa sansiro pub katika kata ya mlowa barabarani....................
Kikundi kilianza rasmi tarehe 05/05/2015 na kuzinduliwa rasmi tarehe
15/05/2016 jumla ya wanakikundi Wapo 35 na wanaendelea kujiunga kikundi
kinapatika Kata ya mlowa barabarani