Friday, August 5, 2016

MUHIMU....... SHOW KALI SIKU YA NANE NANE NKULABI NGONYANI PUB

TANGAZO TANGAZO TANGAZO TANGAZO TANGAZO
WAKAZI WOTE WA DODOMA NA NJE YA DODOMA MNAKARIBISHWA KUSHUHUDIA SHOW KALI ITAKAYOPIGWA NA VIJANA WA MAGU TUJILEE KATIKA UKUMBI WA NGONYANI PUB ULIOPO KATIKA KIJIJI CHA NKULABI SIKU YA TAREHE 08/08/2016 NJOO USHUHUDIE VIJANA
WAKIIGIZA
WAKIIMBA
WAKIRUKA SARAKASI
WAKICHEZA NGOMA ZA KIASILI
NA VITU VINGI AMBAVYO SI VYAKUKOSA
KIINGILIO NI SAWA NA BURE
WAKUBWA 1000/=
WATOTO 500/=
KWA MAWASILIANO PIGA 0789134222
HII SI YAKUKOSAAAAAAAAAAAAAAAAAAA








 



Sunday, July 17, 2016

vijana wa magu wafanya kweli uzinduzi wa kuchukua takwimu wa dodoma cohort study uliofanyika katika kata ya makang'wa

 vijana wa magu wakicheza ngoma za kiasili za bukoba










 vijana wa magu wakiigiza igizo la kuhamasisha watu kujitokeza kuandikishwa kwa wingi

 vijana wa magu tujilee wakiwa pamoja na wafadhili wa mradi wa dodoma cohort study





 vijana wakiwa na furaha kubwa baada ya kufanya kweli kwenye uzinduzi wa dodoma cohort study
 juma unaenda wapiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii









 viongozi wa magu pamoja na kikundi cha muungano wakiwa katika picha ya pamoja


kwa mawasiliano zaidi piga 0789356403 kwa kuwapata vijana wa magu tujilee waliopo mlowa barabarani asante

Thursday, July 7, 2016

TAARIFA MUHIMU KUHUSU KIKUNDI CHA MAGU TUJILEE

kwa taarifa zaidi juu ya kikundi cha magu tujilee culture group usikose kutembelea blog yao kila siku ili upate kujua taarifa zao zaidi. pia kwa mawasiliano zaidi unaweza kuwasiliana na uwongozi wa kikundi kwa namba za simu zifuatazo katibu wa kikundi majuto malechela simu namba 0789356403
pia kikundi hiki kinajiusisha na mambo yafuatayo kujenga majengo mbalimbali, kuigiza, kucheza ngoma za kiasili na za kisasa, pia kupaka rangi majengo mbalimbali kuimba kwa staili mbalimbali.
kikundi hiki kinapatikana katika halmashauri ya wilaya ya chamwino kata ya mlowa barabarani kijiji cha mlowa b..............
mnakaribishwa wote wenye vipaji ili muweze kutimiza ndoto zenu

Tuesday, July 5, 2016

MAGU TUJILEE MUUNGANO NA CHAPAKAZI WAKIFANYA USAFI KATIKA KATA YA MAKANG'WA WALIKUTANA KUAMASISHA USAFI

vijana wa magu tujilee wakifanya usafi kwa kushirikiana na vikundi vya kitamaduni vya muungano na chapakazi wa kata ya makang'wa katika maeneo ya kijiji cha makang'wa.
pia baada ya kufanya usafi waliweza kuonyeshana uwezo wa jukwaani
maelezo zaidi fatilia habari picha hapo chini..............